YOUTH CAMP

YOUTH CAMP
-Hili ni kongamano la vijana kutoka katika makanisa tofauti nchini Tanzania. Pia linajumuisha hata wale wasiotoka katika makanisa yoyote.

MALENGO

Malengo ya Youth Camp ni:-
  1. Kuwafundisha vijana Neno la Mungu na jinsi ya kupmbana na mwovu shetani
  2. Kuwafundisha ujasiliamali, afya, kilimo, biashara, maadili mema, mawasiliano,
  3. Kutambua vipaji vya vijana
  4. Kuwashirikisha katika michezo mbalimbali.
  5. Kujua nini vijana wanahitaji katika ujana wao.
WAGENI
-Tunaalika wageni  kutoka Tanzania na nje ya Tanzania, kwaajili ya kuwahamasisha vijana kuenenda katika maadili mazuri.
-Mgeni rasmi wa kongamano anaweza kutoka Tanzania au nje ya Tanzania.

KIINGILIO
-Tumeweka kiasi kidogo sana cha kiingilio kwa vijana. Kiingilio hiki kitachangia katika gharama ndogondogo za uendeshaji wa kaongamano.

MAKAZI
-Vijana watakaa katika eneo la kongamano, hakutakuwa na kijana atakayeweza kurudi nyumbani. Chakula kinapatikana bure.
-Kutakuwa na chai asubuhi, chakula cha mchana na chakula cha jion