OUR SERVICES

IMMANUEL ORPHANANGE SOCIAL AND DEVELOPMENT

HUDUMA ZETU.

Kituo hiki kinajishugulisha na mambo yafuatayo:

  1. Kuandaa makongamano ya vijana (Youth Camp)
  2. Kilimo na ufugaji
  3. Kusaidia familia duni
  4. Kufundisha elimu dunia na elimu ya kiroho
  5. Kuandaa vijana katika kukuza vipaji vyao